IQNA

Waislamu Virginia Marekani wagawa chakula Mwezi wa Ramadhani-VIDEO

22:42 - May 08, 2020
Habari ID: 3472747
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Kiislamu ya Dar Al-Hijrah ya Virginia nchini Marekani inagawa chakula kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kila mwaka taasisi hiyo hugawa vifurishi vya chakula ndani ya ukumbi wake lakini mwaka huu kutokana na kuibuka janga la COVID-19 shughuli hiyo inafanyika nje ya taasisi hiyo.

Mfuko wa Iftar ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeweza kuchangisha dola laki moja kwa ajili ya kuwalisha wanaohitajia.

3896364

captcha