iqna

IQNA

tanzania
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) Tawi la Tanzania kimeanza mwaka mpya wa masomo katika sherehe iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3474812    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/16

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa wito kwa Waislamu kuwatunza na kuwaheshimu walimu wa shule za Qur’ani au Madrassah ili kuwapa motisha na kutambua jitihada zao za kuelimisha na kulea watoto.
Habari ID: 3474562    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15

TEHRAN (IQNA) - Kina mama wa Kiislamu wametakiwa kuongeza juhudi katika kutimiza jukumu la kuandaa watoto wao kutokana na kukithiri kwa mmomonyoko wa maadili, kwani watoto wema na bora wanaanza na wazazi bora hasa kina mama.
Habari ID: 3474459    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23

Mnamo 14 Dhul Hija 1442 Hijria Qamaria sawa na 25 Julai 2021, Waislamu wa Afrika Mashariki na maeneo mengine duniani walikumbwa na majonzi kufuatia kuaga dunia mwanazuoni mtajika wa Kiislamu na mfasiri wa Qur’ani Tukufu Alhaj Sheikh Hassan Mwalupa.
Habari ID: 3474408    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna fursa nyingi na nzuri za kuboresha na kustawisha kiwango cha uhusiano baina ya Iran kwa upande mmoja na Tanzania na Zanzibar kwa upande mwingine.
Habari ID: 3474163    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06

TEHRAN (IQNA)- Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iko mbioni kutunga sheria za kuunga mkono mfumo wa Kiislamu wa benki nchini humo.
Habari ID: 3474084    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/09

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kimezindua Kanali ya YouTube kwa lugha ya Kiswahili kuhusu sira na fikra za Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473973    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02

TEHRAN (IQNA)- Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ametangaza kuanzishwa kanali ya YouTube ya kufunza Qur’ani Tukufu kwa wazungumzao lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3473921    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17

TEHRAN (IQNA)- Mashindnao ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yamefanyika Jumapili Aprili 25 katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam na kuvutia maelfu ya wakazi wa mji huo.
Habari ID: 3473851    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/26

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu yamefanyika nchini Tanzania.
Habari ID: 3473841    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/22

Katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Magufuli
TEHRAN (IQNA) - Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewavutia wengi baada ya kusimaisha hotuba yake kwa zaidi ya dakika moja kupisha wito wa swala (adhana) ya adhuhuri wakati akihutubu leo katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli mjini Dodoma.
Habari ID: 3473754    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/22

TEHRAN (IQNA)- Bi. Samia Suluhu Hassan mapema leo asubuhi, saa nne asubuhi kwa majira ya Afrika Mashariki ameapishwa kuwa rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Habari ID: 3473746    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

Waislamu wa mji wa Arusha nchini Tanzania walijimuika na wenzao duniani katika kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3473128    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye wawakilishi wawili watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa ya Qur an tukufu ya Hifdh na Tajweed yatakayofanyika nchini Gabon, wamepatikana.
Habari ID: 3472393    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/21

TEHRAN (IQNA)- Rais John Magufuli wa Tanzania amehuhdhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani yaliyofanyika Jumapili Mei 19.
Habari ID: 3471966    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/21

TEHRAN (IQNA). Sherehe za Mazazi ya Bibi Fatima Zahra SA hivi karibuni zimewaleta pamoja Waislamu na wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW katika katika Markaz Mafaatihul Jinaan, Kiguza, Mkuranga, Pwani nchini Tanzania.
Habari ID: 3471854    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/26

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani ya Tazania yamefanyija Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo Dar-es-Salaam.
Habari ID: 3471535    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24

TEHRAN (IQNA)-Binti M tanzania , Ashura Amani Lilanga, ameshika nafasi tatu katika Mashindano ya Tatu Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471482    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/26

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yamefanyika siku chache zilizopita nchini Tanzania na kushirikisha nchi 20.
Habari ID: 3471282    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/27