IQNA

Taa za Krismasi Zinang'aa kote Ulimwenguni

TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya watu wanasherehekea Krismasi na Mwaka Mpya wa Miladiaduniani kote huku taa zinazomulika ni miongoni mwa mapambo kuu ya sherehe. Krismasi husherehekewa 25 Desemba na idadi kubwa ya Wakristo huamini hii ni siku aliyozaliwa Nabii Isa AS (Yesu).