IQNA

Qari al-Taruti

Qari wa Misri akisema aya katika Sura Maryam (+Video)

TEHRAN (IQNA) – Disema 25 huadhimishwa na Wakristo wengi kama Siku ya Krismasi ambayo inaadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Nabii Isa Mwana wa Maryam (Yesu) amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake.

Katika klipu iliyopota hapa chini msomaji Qur'ani Tukufu mahiri wa  Misri Ustadh  Abdul Fattah al-Taruti aanasema aya za 15 na 16 za Sura Maryam zisemazo:  " Na amani iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa, na siku ya kufufuliwa. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki."

4109465

Kishikizo: maryam ، nabii isa