IQNA

Maombolezo ya kufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA mjini Qom

Tehran (IQNA)- Wakaazi wa mji wa Qom katikati mwa Iran wameutayarisha mji huo kwa ajili ya ibada za maombolezo kuadhimisha kumbukumbu ya kufa Shahidi Bibi Fatima Zahra, Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib AS