IQNA

Msikiti mkubwa zaidi Australia, Msikiti wa Lakemba + Video

TEHRAN (IQNA) – Katika mji wa Sydney, Australia kuna Msikiti wa Lakemba, ambao pia unajulikana pia kama Msikiti wa Imam Ali bin Abi Taleb. Msikiti huu ambao pia una kituo cha Kiislamu ni msikiti mkubwa zaidi nchini Australia.