IQNA

Theluji katika mji mtakatifu wa Qum, Iran

QOM (IQNA) - Theluji ya kwanza ya mwaka wa 2023 imenyesha katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran katika Haram Takatifu ya Bibi Masoumah (SA) mnamo Januari 10.