IQNA

Biswa Ijtima: Mjumuiko wa Kiislamu nchini Bangladesh 2023

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya watu walihudhuria Akheri Munajat (Sala ya mwisho) wakati wa 'Biswa Ijtema', ambao ni mjumuiko wa kila mwaka wa Waislamu huko Tongi, karibu na Dhaka, mji mkuu wa Bangladesh Januari 13, 2023.

Ijtema ni mkutano wa Sala na dua  ambao hufanyika kwa muda wa siku tatu, ambapo waumini wanaohudhuria hujjumuika pamoja huku wakiwasikiliza wasomi wakisoma na kufafanua aya za Qur'ani Tukufu.