Habari Maalumu
IQNA – Maktaba ya Kitume ya Vatican imetenga eneo dogo kwa ajili ya watafiti Waislamu kuswali wanapoitembelea.
15 Oct 2025, 12:20
IQNA – Agizo limetolewa la kuandaa Sala ya Istisqa (kuomba mvua) katika misikiti yote ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) siku ya Ijumaa.
14 Oct 2025, 19:06
IQNA – Baada ya miezi kadhaa ya kufungwa kutokana na mashambulizi ya angani, Msikiti wa Al-Tawhid ulioko katika kambi ya wakimbizi ya Al-Shati, Gaza, umefunguliwa...
14 Oct 2025, 18:40
IQNA-Idara Kuu ya Mambo ya Kiislamu, Awqaf na Zakat ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuanza kwa usajili wa toleo la pili la Emirates International...
14 Oct 2025, 18:59
Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu (Sehemu ya Pili)/2
IQNA – Neno Ta’avun (ushirikiano) hutumika kama istilahi ya kielimu katika fani nyingi, lakini katika Seerah ya Mtume Mtukufu (SAW), mara nyingi linahusiana...
14 Oct 2025, 18:22
IQNA – Mashindano ya kwanza ya Qur'ani na Sunnah yameanza rasmi nchini Brazil, katika bara la Amerika ya Kusini.
13 Oct 2025, 23:53
IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yatafanyika wakati wa toleo la pili la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu...
13 Oct 2025, 23:46
Ushirikiano katika Qur'ani Tukufu/1
IQNA – Uislamu umeamuru wafuasi wake kusaidiana katika kutenda mema. Wakati watu wanapokusanyika na kuanzisha mahusiano ya kijamii, roho ya umoja huingia...
13 Oct 2025, 23:27
IQNA – Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, yakihusisha washiriki 330 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, yatafanyika mwaka huu katika...
13 Oct 2025, 23:37
IQNA-Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limetangaza kukabidhiwa mateka saba wa kwanza wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
13 Oct 2025, 23:32
IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani, Hujjatul-Islam Habibollah Zamani, amesisitiza kuwa njia bora ya kuwahimiza watoto kuswali ni kwa wazazi kuishi kwa mfano...
12 Oct 2025, 09:43
IQNA – Morocco imezindua jukwaa la kwanza la kidijitali lenye akili mnemba (AI) kwa ajili ya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu, likilenga...
12 Oct 2025, 09:16
IQNA –jumuiya ya Waislamu wa Fiji (FML) imetoa tangazo rasmi kwa Waislamu nchini humo kwamba haijaidhinisha McDonald's Fiji kuwa 'Halal'
12 Oct 2025, 07:02
IQNA – Maandalizi ya mashindano ya 9 ya kitaifa ya usomaji wa Qur'ani kwa makundi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iraq yanaendelea chini ya usimamizi...
11 Oct 2025, 19:37
IQNA – Hukumu dhidi ya mwanaume aliyepigwa faini kwa kuchoma nakala ya Qur'an nje ya ubalozi wa Uturuki jijini London imebatilishwa kwa kisingizio cha...
11 Oct 2025, 19:29
IQNA – Mtaalamu mkongwe wa Qur'an, Abbas Salimi, amesema kuwa mashindano ya Qur'an yana mchango mkubwa katika kuimarisha jamii na kuzuia Qur'an Tukufu...
11 Oct 2025, 18:44