IQNA

Mwandishi Mkristo: Kuendeleza maadili na upendo ni ujumbe wa Utume wa Isa na Muhammad (Amani Iwe Juu Yao)

Mwandishi Mkristo: Kuendeleza maadili na upendo ni ujumbe wa Utume wa Isa na Muhammad (Amani Iwe Juu Yao)

IQNA – Mwanafikra na msanii Mkristo kutoka Lebanon amesema Nabii Isa na Mtume Muhammad (rehema na amani ziwashukie) waliona jukumu lao kuwa ni kusimamisha maadili na upendo wa kimungu.
16:52 , 2025 Dec 25
Salamu za Krismasi za Rais wa Iran kwa Papa Leo wa Kanisa Katoliki

Salamu za Krismasi za Rais wa Iran kwa Papa Leo wa Kanisa Katoliki

IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu kwa Papa Leo wa XIV, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, akimpongeza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Nabii Isa (amani iwe juu yake) na kuwadia Mwaka Mpya wa 2026.
16:34 , 2025 Dec 25
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Misri Wasoma Qur’ani kwa Sauti ya Pamoja + Video

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Misri Wasoma Qur’ani kwa Sauti ya Pamoja + Video

IQNA – Wachezaji wa timu ya taifa ya kandanda ya Misri wamesoma aya za Qur’ani Tukufu kwa sauti ya pamoja kabla ya mechi dhidi ya Zimbabwe katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
12:44 , 2025 Dec 25
Ujumbe wa Krismasi na Amani Kutoka kwa Mkuu wa ICRO

Ujumbe wa Krismasi na Amani Kutoka kwa Mkuu wa ICRO

IQNA – Katika ujumbe wake kwa viongozi na wafuasi wa Kanisa Katoliki, Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO), Hujjatul-Islam Mohammad Mehdi Imanipour, ametumai mwaka 2026 utakuwa mwaka uliojaa amani, mapenzi na huruma kwa wafuasi wote wa dini za mbinguni.
12:04 , 2025 Dec 25
Kile kilichomchochea mwandishi wa Libya kuandika Ensaiklopidia ya Hadithi za Qur’ani

Kile kilichomchochea mwandishi wa Libya kuandika Ensaiklopidia ya Hadithi za Qur’ani

IQNA- Dr. Ali Muhammad Al-Salabi, mwandishi na mtafiti wa Libya, ndiye aliyeandika Ensaiklopidia ya Hadithi za Manabii katika Qur’anI Tukufu.
20:23 , 2025 Dec 24
Mashindano ya Qur’ani kufanyika kwa kumbukumbu ya dada watatu Wamisri

Mashindano ya Qur’ani kufanyika kwa kumbukumbu ya dada watatu Wamisri

IQNA-Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani yatafanyika katika jimbo la Menoufia, Misri, kwa kumbukumbu ya dada watatu wadogo wa Kimasri waliopoteza maisha katika ajali. Mashindano haya yamepangwa kufanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani (Februari–Machi, 2026).
20:17 , 2025 Dec 24
Qari mashuhuri Sheikh Ahmed Nuaina asoma Qur’ani katika kipindi cha televisheni cha Misri

Qari mashuhuri Sheikh Ahmed Nuaina asoma Qur’ani katika kipindi cha televisheni cha Misri

IQNA-Ahmed Ahmed Nuaina, anayejulikana kama Sheikh al-Qurra (Kiongozi wa Maqari) wa Misri, alionekana katika kipindi cha vipaji cha taifa kiitwacho Dawlet El Telawa.
20:09 , 2025 Dec 24
Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya: Hazina Tajiri kwa Watu wa Dini na Elimu

Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya: Hazina Tajiri kwa Watu wa Dini na Elimu

IQNA-Kiongozi wa idara ya nakala za maandiko ya Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya, iliyo ndani ya Haram ya Imam Ali (AS) nchini Iraq, amesema kuwa maktaba hii imejulikana kwa wingi na utofauti wa hazina zake za kidini na kisayansi, na imekuwa miongoni mwa maktaba mashuhuri zaidi.
20:05 , 2025 Dec 24
Waislamu wa Australia wanaripoti kuongezeka chuki baada ya hujuma ya Bondi

Waislamu wa Australia wanaripoti kuongezeka chuki baada ya hujuma ya Bondi

IQNA-Baada ya mkasa wa Bondi uliouunganisha taifa katika huzuni, Waislamu wengi wa Australia wanakabiliwa na hali ya kutisha sambamba: kuongezeka kwa matusi na vitisho vinavyowalaumu kimakosa kwa shambulio hilo.
19:22 , 2025 Dec 24
Nafasi ya Istighfar katika kusamehewa dhambi na kuokolewa na moto wa jahannam

Nafasi ya Istighfar katika kusamehewa dhambi na kuokolewa na moto wa jahannam

IQNA-Istighfar, yaani kuomba msamaha kwa Allah, ni ibada yenye athari nyingi katika maisha ya Mwislamu. Lengo kuu na la moja kwa moja la mwenye kuomba msamaha ni kusamehewa dhambi zake na kupata radhi za Allah.
16:47 , 2025 Dec 23
Nahj al-Balagha pamoja na Qur’ani kuzingatiwa katika Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran

Nahj al-Balagha pamoja na Qur’ani kuzingatiwa katika Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran

IQNA-Nahj al-Balagha, sambamba na Qur’ani Tukufu, litakuwa kiini cha Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran.
16:36 , 2025 Dec 23
Wizara ya Awqaf ya Qatar yazindua awamu ya tatu ya Mpango wa Qur’ani wa“Asaneed” kwa Maimam

Wizara ya Awqaf ya Qatar yazindua awamu ya tatu ya Mpango wa Qur’ani wa“Asaneed” kwa Maimam

IQNA – Baada ya mafanikio ya awamu zilizopita, Wizara ya Awqaf ya Qatar imezindua toleo la mwaka 2025–2026 la mpango wa “Asaneed” kwa lengo la kuboresha ufasaha wa usomaji wa Qur’ani kwa maimam.
16:27 , 2025 Dec 23
Jinsi ya kuzungumza na watoto kuhusu maudhui ya chuki dhidi ya Uislamu

Jinsi ya kuzungumza na watoto kuhusu maudhui ya chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Kugundua kuwa mtoto wako amekutana na hotuba ya chuki dhidi ya Uislamu mtandaoni ni jambo linaloweza kutisha.
16:19 , 2025 Dec 23
Msikiti wa “Fakhrul-Muslimin” (Fakhari ya Waislamu) nchini Urusi wavutia wageni

Msikiti wa “Fakhrul-Muslimin” (Fakhari ya Waislamu) nchini Urusi wavutia wageni

IQNA – Msikiti wa Fakhrul-Muslimin, maarufu kama “Fakhari ya Waislamu”, ulioko nchini Urusi, unavutia idadi kubwa ya wageni kutokana na usanifu wake wa kipekee.
16:05 , 2025 Dec 23
Filamu | Dua ya Mwezi wa Rajab kama inavyosomwa na marhum Musawi Qahhar

Filamu | Dua ya Mwezi wa Rajab kama inavyosomwa na marhum Musawi Qahhar

IQNA- Tukiwa tumeingia katika mwezi mtukufu wa Rajab al-Murajjab, kundi la hamziya Al-Ghadir (Tanin) limetoa na kuzindua kazi mpya yenye jina "Dua ya Mwezi wa Rajab". Kazi hii imetayarishwa kwa mtindo wa kisomo maarufu cha dua cha marehemu Sayyid Abulqasim Musawi Qahhar, Allah amrehemu na ampe makazi ya amani peponi.
14:06 , 2025 Dec 23
1