Televisheni hiyo imemuoneysha Qarii Al-Hussary akisoma aya za Surah Maryam ya Qur'ani Tukufu.
Marhum Sheikh Mahmoud Khalil Al-Hussary alizaliwa Septemba 17 1917 na alikuwa miongoni mwa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Sheikh Al-Hussary ambaye alifarikia 24 Novemba 1980 akiwa safarini nchini Kuwait alikuwa akiandamana sana na marhum Sheikh Abdul Basit na Sheikh Mustafa Ismail.