IQNA - Israel ililazimika kuomba kusitisha mapigano kutokana na uwezo wa Hizbullah, amesema katibu mkuu wa harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon.
2025 Jan 05 , 23:13
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei ameashiria umuhimu wa Imam Jawad (AS), Imam Hadi (AS) na Imam Askari (AS) katika historia ya Uislamu.
2025 Jan 05 , 13:02
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
2025 Jan 03 , 22:53
IQNA – Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vilizuia wito wa sala kusikika katika Msikiti wa Ibrahim mara 48 mwezi Desemba, Wizara ya Misaada na Masuala ya Kidini Palestina ilifichua jana.
2025 Jan 03 , 22:34
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ametoa heshima kwa kamanda mkuu wa zamani wa kupambana na ugaidi wa Iran, shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, akisema alikuwa na nafasi ya kipekee katika kuwaunga mkono watu wa Palestina na muqawama wao.
2025 Jan 03 , 11:47
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
2024 Jul 06 , 14:32
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Hamas amepongeza operesheni ya hivi karibuni iliyozinduliwa Gaza kama sura mpya katika makabiliano dhidi ya wavamizi wa Israeli.
2023 Oct 09 , 17:57
GAZA (IQNA) - Zaidi ya wakazi 120,000 wa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo unaoendelea kati ya vikosi vya upinzani na jeshi la Israel, Umoja wa Mataifa ulisema.
2023 Oct 09 , 17:36
ANKARA (IQNA)- Rais wa Uturuki amesema "Shambulizi la chuki dhidi ya kitabu chetu, Qur'ani, huko nchini Uswidi katika siku ya kwanza ya Sikukuu za Iddul Adh'ha, lilianika kiwango cha kutisha cha chuki dhidi ya Uislamu."
2023 Jul 09 , 15:25
MAKKA (IQNA) – Cheti cha kifahari cha Hija kinaweza kutolewa kwa njia ya intaneti kwa wale wote walioshiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
2023 Jul 09 , 15:12
ABUJA (IQNA) - Mwanaharakati wa Kiislamu wa Nigeria amelaani kitendo cha hivi karibuni cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Uswidi (Sweden) na kusisitiza kwamba vitendo hivyo vya kufuru vinatishia msingi wa kuishi pamoja kwa amani katika jamii.
2023 Jul 09 , 14:48
ISLAMABAD (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imehimizwa kubuni mikakati ya kukabiliana na chuki inayoongezeka dhidi ya Uislamu duniani kote.
2023 Jul 08 , 15:43