IQNA

Qari wa Iran akisoma Qur'ani katika katika Tamasha la Sanaa la Qur'ani Malaysia

TEHRAN (IQNA)-Qari wa Iran Ustadh Alireza Bijani alisoma Surah Al-Fatiha katika Tamasha la Kimataifa la Sanaa la Qur'ani Tukufu la Restu nchini Malyasia hivi karibuni. Hii hapa klipu ya qiraa hiyo.