IQNA

Kilele cha Qiraa

Sikiliza usomaji Qur’ani Tukufu wa Sheikh Muhammad Hulail

TEHRAN (IQNA)- Sera moja muhimu zaidi ya Shirika la Habari la IQNA ni usambazaji wa elimu ya kukuza ufahamu wa usomaji wa Qur’ani Tukufu. Kwa msingi huo, tunasambaza klipi za wasomaji bingwa wa Qur’ani Tukufu chini ya anuani ya ‘Kilele cha Qiraa’. Katika sehemu ya arobaini na moja tunasikiza qiraa ya Ustadh Sheikh Mohammad Mohammad Hulail. Qiraa yake inaanzia 00:54

 

Sikiliza usomaji Qur’ani Tukufu wa Sheikh Muhammad Hulail

Kishikizo: Hulail ، qarii ، qurani tukufu