IQNA

Picha za Hospitali ya Ghaza baada ya Mashambulizi Makali ya Anga Kutoka Israeli

AL-QUDS (IQNA) - Jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika uhalifu wa kinyama lililenga hospitali ya al-Ahli Arabu huko Ghaza wakati wa shambulio la anga siku ya Jumanne, na kuua zaidi ya raia 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, na kujeruhi mamia ya wengine.

Kabla ya mauaji hayo, viongozi wa utawala huo walikuwa wamewataka watu wa Ghaza kwenda hospitali ili kujilinda na mashambulizi ya Israel.

 
 

3485646

 

Kishikizo: vifo ، watoto ، Ukanda wa Ghaza