iqna

IQNA

bunge
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za pongezi katika sherehe za kuanza awamu ya 11 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, na kusema kwa mara nyingine, demokrasia ya Kiislamu imeonyesha mvuto wake duniani.
Habari ID: 3472807    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27

TEHRAN (IQNA) - Majlisi ya Ushauri ya Kiisalmu (Bunge la Iran) imeidhinisha muswada wa namna ambavyo Iran itakabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
Habari ID: 3472779    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

TEHRAN (IQNA) - Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabiliana na njama na uhasama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3472759    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12

TEHRAN (IQNA) - Baada ya miezi mitano ya mkwamo wa kisiasa nchini Iraq, hatimaye Alhamisi Bunge la nchi hiyo limeidhinisha Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhimi.
Habari ID: 3472742    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08

Makundi ya Palestina
TEHRAN (IQNA) –Makundi ya muqawama au kupigania ukombozi wa Palestina yamesisitiza kuwa, matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge katika utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoneysha kuwa hakuna mabadiliko yoyote katika sera za utawala huo.
Habari ID: 3472526    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/03

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.
Habari ID: 3472491    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/21

Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
Habari ID: 3304650    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18

Wa bunge 13 Waislamu wamechaguliwa katika uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uingereza na hivyo kuweka rekodi mpya iliyoongezeka kutoka wa bunge 8 mwaka 2010.
Habari ID: 3276825    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Bunge la Uhispania na Rais wa Slevonia wameunga mkono suala la kutambuliwa rasmi dola la Palestina. Hatua hii inakuja katika wimbi la uungaji mkono wa dola la Palestina.
Habari ID: 1475315    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/19

Ali Larijani
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema , leo taifa la Iran linafakhari kuwa, kwa uwezo wake wote limeweza kulisaidia taifa la Palestina katika kipindi chake kigumu zaidi.
Habari ID: 1443997    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28