iqna

IQNA

watoto
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wapalestina waliouliwa shahidi katika jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni huko Gaza imeongezeka na kufikia watu 24 wakiwemo watoto wadogo sita.
Habari ID: 3475589    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS katika mji wa Karbala, Iraq imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu ambayo yamewashirkisha watoto na mabarobaro wa nchi tano za Kiafrika.
Habari ID: 3475489    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11

Qur’ani inasemaje/ 8
TEHRAN (IQNA) - Kuheshimu wazazi ni mojawapo ya mafundisho makuu ya maadili ya Uislamu na Qur’ani inalipa suala hili umuhimu mkubwa sana.
Habari ID: 3475389    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17

Haki za Watoto
TEHRAN (IQNA)- Tarehe12 Juni, kama ilivyo ada ya kila mwaka, jumuiya ya kimataifa inaungana na kusema hapana kwa ajira ya watoto . Licha ya kupungua kwa idadi ya watoto wanaofanya kazi katika miongo miwili iliyopita, maendeleo kuelekeza kutokomeza ajira kwa watoto yalitatizwa katika kipindi cha mwaka 2016 hadi 2020.
Habari ID: 3475371    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimejibu ukosoaji kuhusu darsa zake za kuhifadhi Qur'ani kwa watoto . Katika taarifa yake Jumapili, Kituo cha Al-Azhar cha Fatwa za Kielektroniki kilisema kuwa kulea watoto na kuwalea kwa ufahamu sahihi wa Quran ni nguzo ya utulivu wa jamii.
Habari ID: 3475316    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30

Watoto na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Usajili wa masomo ya Qur'ani Tukufu katika majira ya joto katika misikiti ya Misri umepokelewa vyema na watoto wa shule.
Habari ID: 3475292    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
Habari ID: 3474754    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)- Watoto kadhaa wanaougua saratani wamekutana na mwanazuoni wa ngazi za juu wa Mashia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al Sistani.
Habari ID: 3474679    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Kipalestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa.
Habari ID: 3474585    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema mamia ya watoto wa Yemen wanafariki dunia ndani ya kila saa 24 kutokana na utapiamlo, huku muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia ukiendelea kufanya mashambulizi na kuliwewekea mzingiro wa kila upande taifa hilo maskini la Kiarabu.
Habari ID: 3474584    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

UNICEF
TEHRAN (IQNA)- Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
Habari ID: 3474314    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19

TEHRAN (IQNA)- Karibu watoto 33,000 wameuawa na kulemazwa nchini Afghanistan katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wakati wa uvamizi wa Marekani dhidi ya nchi hiyo, limesema shirika la Save the Children.
Habari ID: 3474248    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01

TEHRAN (IQNA)- Hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Yemen kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu na kusema kuwa, mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10.
Habari ID: 3474223    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha sheria mjini Sana'a kimetoa takwimu za jinai zilizofanywa na muungano wa Saudi Arabia katika kipindi cha siku 2,300 za uvamizi wake nchini Yemen.
Habari ID: 3474097    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/13

TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27

TEHRAN (IQNA)- Watoto wa Yemen wamelaani vikali uungaji mkono wa Umoja wa Mataifa kwa muungano vamizi wa Saudia baada ya umoja huo kukataa kukosoa Saudia na waitifaki wake wanaotenda jinai dhidi ya watoto Wayemeni.
Habari ID: 3474038    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/24

TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya Kiislamu wametkewa nyara na watu wasuojulikana ambao walishambulia shule yao katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3473964    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

Hadi sasa Wapalestina karibu 218, wakiwemo watoto 58, wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Ghaza huku wengine zaidi ya 1,235 wamejurhiwa.
Habari ID: 3473918    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17

TEHRAN (IQNA) – Mohammad al-Fardi ni baba Mmisri ambaye watoto wake wote 8 wamehifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473678    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa, watoto wachanga 100,000 hufariki kila mwaka nchini humo punde baada ya kuzaliwa kutokana na vita vinavyoendelea vya Saudia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika Bara Arabu.
Habari ID: 3473478    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21