iqna

IQNA

Congress
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mbunge mmoja wa bunge la Marekani amesisitiza upya msukumo wa kuhakikisha kwamba misaada ya nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni Israel haichangii dhuluma dhidi ya Wapalestina, hasa watoto, huku wabunge wakiendelea kutoa wito wa kuwekwa masharti kuhusu usaidizi huo.
Habari ID: 3476972    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/07

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wabunge wa chama cha upinzani cha Republican katika Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani ( Congress ) wamepiga kura ya kumtimua Ilhan Omar katika kamati muhimu ya bunge kutokana na kitendo cha mbunge huyo Muislamu kuwakejeli wanasiasa wa Marekani kutokana na uungaji mkono wao usio na msingi kwa utawala wa Israel mkabala wa kupokea malipo ya malipo ya fedha.
Habari ID: 3476507    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/03

Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio ya hivi karibuni katika Bunge la Congress nchini Marekani yamepelekea Wamarekani wafahamu hatari ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump.
Habari ID: 3473538    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/09