iqna

IQNA

bango
TEHRAN (IQNA) – Bango la Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu limezinduliwa wiki mbili kabla ya kuanza mashindano hayo.
Habari ID: 3473670    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21