iqna

IQNA

spika
TEHRAN (IQNA)- Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei ambapo amempongeza kwa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474913    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/10

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu,Bunge la Iran amesema kuwa umoja ni suluhisho pekee kwa matatizo ambayo yanaukumba umma wa Kiislamu duniani kote.
Habari ID: 3474663    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya maadui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata maadui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
Habari ID: 3474416    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/12

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kigeni na kibeberu hayataweza kuilazimisha Syria ifuate matakwa yao.
Habari ID: 3310591    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/02

Ali Larijani
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema , leo taifa la Iran linafakhari kuwa, kwa uwezo wake wote limeweza kulisaidia taifa la Palestina katika kipindi chake kigumu zaidi.
Habari ID: 1443997    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28

Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuzingatia zaidi suala la malezi ya vijana hasa wale ambao wanajihusisha na shughuli za kisayansi na kiufundi.
Habari ID: 1377673    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/20

Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge laa Iran amesema kuwa uzoefu wa miaka mingi iliyopita umeonesha kwamba ugaidi na ubeberu ni ncha mbili za mkasi unaotishia Umma wa Kiislamu na kwamba watu wa Iraq, Syria, Afghanistan na Pakistan wamehisi zaidi machungu ya mkasi huo kuliki watu wa maeneo mengine.
Habari ID: 1377233    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19