Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wamarekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na hatua ya mashirika makubwa ya Google and Amazon kuunga mkono utawala huo.
Habari ID: 3475755 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09