iqna

IQNA

abaya
WASHINGTON, DC (IQNA) - Jopo la ushauri la serikali ya Marekani limetoa shutuma kuhusu marufuku ya hivi majuzi ya Ufaransa ya wasichana wa shule kuvaa abaya , likisisitiza kwamba marufuku ya mavazi haya marefu yanayotiririka inachukuliwa kama njia ya kuwatisha Waislamu walio wachache.
Habari ID: 3477578    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/10

Chuki dhidi ya Uislamu
GENEVA (IQNA) - Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) amelaani uamuzi wa Ufaransa wa kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu kuvaa abaya .
Habari ID: 3477526    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31