IQNA

Ibada ya Umrah yaanza baada ya zaidi ya miezi sita

17:28 - October 06, 2020
Habari ID: 3473234
TEHRAN (IQNA)- Kundi la kwanza la wanaotekeleza ibada ya Umrah waliwasili katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) Jumapili tarehe nne Oktiba.

Msikiti huo utapokea asilimia 30 ya wafanyaziara ambao wanaoweza kujumuika hapo ambao ni sawa na watu 6,000 kwa siku. Ibada ya Umrah ilisitishwa zaidi ya miezi sita iliyopita kutokana na janga la corona.

 
 
Kishikizo: umrah saudia makka
captcha