iqna

IQNA

wasomi
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, anasema wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu wanabeba dhima nzito kuhusiana na matukio yanayojiri huko Gaza na kwamba wanapaswa kuanzisha matakwa ya umma ya kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478310    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Wasomi Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumamosi iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Ibn al-Jazari, qari mashuhuri katika karne ya 14 na 15 Miladia ambaye pia alikuwa mwanachuoni mashuhuri wa sayansi ya Qur’ani.
Habari ID: 3477979    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wahadhiri katika Chuo cha Kiislamu cha Qum, nchini Iran imelaani vikali pendekezo la serikali ya Ufaransa la kuweka vizingiti katika harakati za Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3473250    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11

Kongamano la kimataifa la "Uislamu, Rehema kwa Dunia" litafanyika Jakarta, Indonesia kuanzia Oktoba 13-16.
Habari ID: 3360473    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/08