iqna

IQNA

hafiz
TEHRAN (IQNA)-Leo tarehe 20 mwezi wa Mehri kwa mujibu wa kalenda ya Kiirani, inasadifiana na maadhimisho ya Khaja Shamsuddin Muhammad Hafiz Shirazi, mshairi na malenga mkubwa wa Kiirani.
Habari ID: 3473251    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11