iqna

IQNA

imam hassan as
Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Moja ya matukio makuu katika maisha ya mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hassan (AS) lilikuwa ni amani yake na Mu’awiya, mapatano ya amani ambayo yanaweza kuelezwa kuwa ni usitishaji vita uliokuwa na lengo la kulinda maadili na uwezo.
Habari ID: 3477597    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14

TEHRAN (IQNA)- Kila mtu anaelezea Mungu kwa misingi ya maisha na aina ya kuangalia ambayo ina mtazamo wa ulimwengu; Sasa, kama sifa za Mwenyezi Mungu zinaelezwa kwa lugha ya mtu ambaye amefundishwa moja kwa moja na Mtume Muhammad SAW basi maelezo hayo yatakuwa ni kamili zaidi na kwa hiyo ni muhimu na yenye kuzingatiwa zaidi.
Habari ID: 3475135    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17

Haram Takatifu ya Hadhrat Masouma (SA) katika mji wa Qum nchini Iran siku hizi ni mwenyeji wa mijimuiko ya maombolezo kwa mnasaba wa kukumbuka kuaga dunia Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi wakujuu wake, yaani Imam Hassan Mujtaba AS na Imam Ridha AS.
Habari ID: 3474388    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika baadhi ya maeneo ya dunia leo tarehe 28 Safar wameshiriki katika maombolezo, simanzi na huzuni kubwa kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu zaidi ya yote la kuaga dunia mbora wa Mitume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad bin Abdullah SAW.
Habari ID: 3474384    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo.
Habari ID: 3473267    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku na leo imeghariki kwenye huzuni na majonzi kwa kukumbuka siku aliyoaga dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na aliyokufa shahidi Imam Hassan Al-Mujtaba AS.
Habari ID: 3470703    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/28