IQNA

Wasomaji Qur'ani Tukufu

Qari wa Misri, Sheikh al Sharqawi akisoma Surah Yusuf (+Video)

15:24 - August 08, 2023
Habari ID: 3477398
CAIRO (IQNA) – Ustadh Yassir Mahmoud Abdul Khaliq al-Sharqawi ni kijana msomaji mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini Misri na ulimwengu wa Kiislamu.

Alizaliwa mwaka wa 1985, na ameshiriki katika mahafali na vikao vingi vya kusoma Qur'ani Tukufu kitaifa na kimataifa  ikiwa ni pamoja na sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu huko Sharm el-Sheikh.

Klipu ifuatayo ina usomaji wake wa Aya ya 23 ya Surah Yusuf:

"Na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo Yusuf alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango. Akamwambia: Njoo! Yusuf akasema: Audhubillahi! Najikinga na Mwenyezi Mungu. Huyu bwana wangu kaniweka maskani nzuri, na hakika wenye kudhulumu hawatengenekewi."

3484679

Habari zinazohusiana
captcha