IQNA

Picha: Misikiti ya Gaza Inayolengwa na Uvamizi wa Israeli

GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza tarehe 7 mwezi Oktoba, utawala wa Israel ulishambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo lililozingirwa na waisraeli.
 
 
Kishikizo: ukanda wa gaza ، Israeli
Habari zinazohusiana