iqna

IQNA

mashhad
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kuna maandishi mengi ya Qur'ani Tukufu yanayohifadhiwa kwenye Maktaba ya Astan Quds Razavi mjini Mashhad, nchini Iran, ukiwemo Mus'haf Mashhad ambao umetajwa ni nakala kamili zaidi katika maandishi ya Kikufi ya Hijaz.
Habari ID: 3478554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Turathi ya Kiislamu
KARBALA (IQNA) – Kopi ya nakala ya kodexi ya Msahahafu wa karne 14 zilizopita wa Mashhad, (Mus'haf Mashhad Razawi) imekabidhiwa Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3478012    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09

Turathi ya Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Kumefanyika sherehe katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran kwa lengo la kuzindua Msahafu ambao uliandikwa karne 14 zilizopita.
Habari ID: 3477906    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Ustaarabu wa Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Ninafumba macho yangu na mbele yangu naona Haram Takatifu (kaburi) yenye kubaa linalong’aa kwa utukufu wakati machweo yanapoingia.
Habari ID: 3477614    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Sikukuu ya Nowruz
TEHRAN (IQNA) - Takriban wafanyaziara milioni 4.3 kutoka kote Iran pamoja na nchi nyingine walitembelea mji mtakatifu waMashhad katika siku chache zilizopita wakati Wairani wakisherehekea Nowruz, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3476749    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23

Mashhad
TEHRAN (IQNA)-Maandalizi yanaendelea katika mji mtakatifu wa Mashhad, kaskazini-mashariki mwa Iran, kupokea kwa furaha mamilioni ya wafanyaziara wanaopanga kutembelea jiji hilo wakati wa likizo ya Nowruz yam waka mpya wa Hijria Shamsia (kuanzia Machi 21).
Habari ID: 3476655    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/04

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Mfawidhi Haram Takatifu ya Imam Ridha AS mjini Mashhad anasema umoja kati ya Waislamu na Wahindu ulikuwa muhimu katika kuwashinda wakoloni, na kuongeza kuwa hivi kuna njama za kupanda mbegu za ugomvi kati ya vikundi hivi vya India.
Habari ID: 3475284    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

TEHRAN (IQNA) Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa hivi karibuni katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran na kusababisha kuuawa shahidi maulamaa wawili.
Habari ID: 3475112    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA)- Kumetolewa pendekezo la kujengwa barabara kutoka mji mtakatifu wa Mashhad nchini Iran hadi mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3474391    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha AS, mmoja kati ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474029    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/21

TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo.
Habari ID: 3473267    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17

TEHRAN (IQNA) - Maeneo matakatifu ya ibada na ziara katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza kufunguliwa baada ya kuwepo mafanikio makubwa katika kudhibiti ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472801    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/25

IQNA:Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni (ISESCO) amesizitiza nafasi ya mji mtakatifu wa Mashhad katika ustawi wa utamaduni wa mwanadamu.
Habari ID: 3470813    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran umezinduliwa rasmi kama Mji Mkuu wa Utamaduni katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470781    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04

Tamasha la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS, litafanyika nchini Iran na kushirikisha nchi 77 mwaka huu.
Habari ID: 3470491    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'
Habari ID: 3470207    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatekeleza mkakati wa kuhakikisha inageuka na kuwa kitovu cha utalii halali kwa lengo la kuwavutia Waislamu milioni 15 kutoka maeneo mbali mbali duniani.
Habari ID: 2910925    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/28